Mtafute umuulize,Hata simjui mkuu,hii picha nmetumiwa na mtu tulikua tunadiscuss hii isue
Niulizie basi details kwa mr Baraka
Shukran sana,nafanya hivo now nowMtafute umuulize,
Namba hii: 0763075749
Page ya biashara hii chini, na picha uliyoiweka yaonekana hapo pia...View attachment 1775382
Sent using Jamii Forums mobile app
Layered photoghraphy ni mbinu tu ya kuunganisha zaidi ya picha moja (mbili na kuendelea) ili upate picha moja yenye taarifa nyingi...Mkuu unaweza kutuelezea zaidi?
Bila shaka, kwa sababu ukitazama unaona kabisa ina objects zilizopangwa lakini zimepangwa kistadi ili picha iwe ya kuvutia...Okey nimekusoma so ni graphics designed photo sio?
,
SawaBila shaka, kwa sababu ukitazama unaona kabisa ina objects zilizopangwa lakini zimepangwa kistadi ili picha iwe ya kuvutia...
Sent using Jamii Forums mobile app