Biashara ya kuprocess maziwa na kuuza bidhaa za maziwa inalipa ?

Biashara ya kuprocess maziwa na kuuza bidhaa za maziwa inalipa ?

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
253
Habari zenu wana jf
Katika pita pita zangu hapa mjini kwa kipindi cha wiki mbili nmeona kampuni zaidi ya 6 zinazoshughulika na kuprocess maziwa kama vile;tanga fresh,mara milk,dar milk,profate nk
Kinachonshangaza wote hawa wanapeleka maziwa yao hadi kwenye supermarkets kibao na hata malls nashindwa kuelewa hivi market ya bidhaa zitokanazo na maziwa ina demand kubwa kiasi hiki kwa maana kila mmoja kati ya hawa tengeneza yoghurt,cheese,ghee,nk
 
Nadhani inalipa sana na demand ya maziwa na products nyingine zina demand kubwa sana ndo maana bado twanunua maziwa toka Kenya, Uarabuni pia. Tanzania bado sana uzalishaji wa maziwa uko chini
 
Back
Top Bottom