Wana jamii naomba ushauri kuhusu biashara ya mashine ya kuranda na kuchana mbao, kwa anayeijua vizuri anishauri nataka kuianzisha, na km unajua sehemu ninapoweza kupata mashine za kuchana na kuranda ziwe heavy duty naomba anifahamishe niweze kununua.