Biashara ya kurejesha (recycling) vifuniko vya chupa

Biashara ya kurejesha (recycling) vifuniko vya chupa

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu.

Naomba mwenye kujua kampuni inayofanya recycling ya vifuniko vya chupa (metal bottle caps) anijuze.

Natanguliza shukrani.
 
Unakusanya Vizio vya chuma wakati wana wanakusanya vya plastic 😀
 
Habari wakuu.

Naomba mwenye kujua kampuni inayofanya recycling ya vifuniko vya chupa (metal bottle caps) anijuze.

Natanguliza shukrani.
Kama vya asili ya Chuma, wananunua kuanzia Kilo 1000. Kama unavyo nicheck nikusaidie soko
 
Back
Top Bottom