Biashara ya kusafirisha abiria

saidi yakoub

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
21
Reaction score
22
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nauliza kama una basi moja la yutong linaenda safari za dar to songea faida yake kwa siku ni shilingi ngapi ukitoa pesa ya mafuta na matumizi mengine na zipi changamoto zake
 
kwanza ujue kutoka dar mpka songea kuna umbali gani halafu upige hesabu ya mafuta kwenda na kurudi na ujue je hill basi litajaa abiria na viwango vya nauli ni kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…