wadau katika harakati za kuchunguza biashara ya kuanzisha na haka kamtaji kangu kadogo,nimekutana na wazo la kusafirisha mabanzi kutoka mafinga iringa kupeleka dar au dodoma,nimechagua mikoa hii kwasababu ni mwenyeji,na napenda niwenauza kwa jumla!yoyote mwenye uzoefu na hii biashara anakaribishwa kutupa mazuri,mabaya na changamoto za hii biashara,kwa kuanza ningependa wachangiaji watutajie bei ya rejareja ya mabanzi katika mikoa yao,na mikoa gani hii kitu inasoko sana na bei zake!maswal yanaruhusiwa.