Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Habar zenu wanajamvi.?
Nimefikiria biashara ya kusafirsha ndizi kutoka mbeya kuleta dar hivyo nilikuwa naomba ushaur toka kwa wazoefu ktk mambo yafuatayo: mkungu mmoja mbeya unauzwaje? Gharama ya kukodi gari ni sh ngap (canter)? Na vipi kuhusu uuzaji kwa hapa dar, yan kuhusu upatkanaj wa wateja au ni njia ipi itanifanya niuze kwa urahs zaid?
Shukran kwenu..