Biashara ya kusafirisha nyama ya Nguruwe Morogoro - Dar-es-Salaam

Biashara ya kusafirisha nyama ya Nguruwe Morogoro - Dar-es-Salaam

Hepatis B

Senior Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
193
Reaction score
155
Kwa yeyote ambaye amewahi fanya hii biashara ya usafirishaji nyama ya nguruwe toka Moro to Dar naomba msaada wako.

Naomba kujua njia ya usafiri uliyotumia, masoko, changamoto n.k

Asante sana.

1620198195207.png
 
Nimeshawahi safirisha na hakuna shida yoyote zingatia uhifadhi bora, iwe refregated.
Braza, vipi kuhusu usafirishaji wa nguruwe wazima kwaajili ya kuwauza umeshawahi kufanya? Soko lipoje na harakati za hiyo biashara ikoje kiujumla?
 
Pastory,
Kwani bei ya nguruwe Morogoro ni kiasi gani? Maana tukijua bei tunaweza kukusaidia kwa sisi kuja kununua hukohuko ili kukuondolea adha ya usafiri.
Braza, kwani mnanunua nguruwe kuanzia wangapi nyinyi
 
Hawa jamaa wanaotuuzia nyama Dar wanasema Inatoka Kongwa,huwa wanachinjia hukohuko Kongwa au wanatupiga tu fix kuwa Inatoka Kongwa Kumbe wameitoa Vingunguti?

Kwa uzoefu wangu nimekuwa nikiona malori yakipita hapa kimara yamejaza Nguruwe hai yakielekea mjini lakini wapi destination yao ukweli sijui
 
Safirisha wazima mkuu,peleka moja kwa moja machinjioni,jamaa wananunua hata uwe na lori mbili
 
Pastory,
Kwani bei ya nguruwe Morogoro ni kiasi gani? Maana tukijua bei tunaweza kukusaidia kwa sisi kuja kununua hukohuko ili kukuondolea adha ya usafiri.
Kilo Moja 8000 Hadi elfu Tisa nyama ya jumla
 
Back
Top Bottom