Hello JF, Nipo tanga kwa sasa na nimeona kua huku samaki na dagaa wanapatikana kwa wingi hasa ukienda kununua baharini, ninafikiria kusafirisha na kwenda kuuza wilaya za tanga ambazo hazina bahari na hata mikoa inayozunguka tanga. Kama ilivyo biashara nyingine yeyote zipi changamoto zake na zipi technical skills zake za kibiashara ili kuweza kuikamata vizuri biashara hii, Maana ajira maofisini ndo hizo inakua ngumu kuzipata na siku zinazidi kusonga