Biashara ya kusaga mahindi na kupaki sembe na dona

evaluator

Senior Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
181
Reaction score
50
Wakuu heshima kwenu,

Nina panga kununu na kufunga machine ya kusaga na kukoboa,kwa lengo la kusaga unga wa sembe na dona,kuufanyia packaging na kuuza kwa ujazo tofauti.(estimated budget plan ni 50mil).

katika kushare na baadhi ya watu wenye uzoefu wa mazingira ya biashara walinitahadhalisha kwamba kupata vibali vya TFDA na TBS ni zoezi gumu sana ni bora ni achane nahii plan yangu.

Kwa mwenye uzoefu wa mbivu na mbichi katika hii biashara tafadhari naomba mawazo yake.
 
kabla sijakushauri, unataka kufanyia biashara eneo gani/mkoa gani?
 
Nataka plant niifunge maeneo ya Mapinga/kihara,ambayo ni mkoa wa pwani.Ni viviji vya kwanza vinavounganisha dar na bagamoyo.

ila mauzo yatafanyika kila panapofikika mkuu@Mossad II
 
Back
Top Bottom