Wakuu heshima kwenu,
Nina panga kununu na kufunga machine ya kusaga na kukoboa,kwa lengo la kusaga unga wa sembe na dona,kuufanyia packaging na kuuza kwa ujazo tofauti.(estimated budget plan ni 50mil).
katika kushare na baadhi ya watu wenye uzoefu wa mazingira ya biashara walinitahadhalisha kwamba kupata vibali vya TFDA na TBS ni zoezi gumu sana ni bora ni achane nahii plan yangu.
Kwa mwenye uzoefu wa mbivu na mbichi katika hii biashara tafadhari naomba mawazo yake.