Duniatunapita man
JF-Expert Member
- May 5, 2024
- 239
- 319
Tafuta humu utapata imejadiliwa kwa kirefuuu sanaaaHabari wadau. Baada ya salamu, nahitaji kuwa na mashine ya kusaga sembe mkoani ruvuma Kisha niwenasafirisha na kuuza maeneo ya tunduru, masasi Hadi mtwara. Naomba mwenye uzoefu anipatie. Ruvuma nimeishi ila tunduru kuelekea mtwara si mwenyeji
Cc bibie cocasticHabari wadau. Baada ya salamu, nahitaji kuwa na mashine ya kusaga sembe mkoani ruvuma Kisha niwenasafirisha na kuuza maeneo ya tunduru, masasi Hadi mtwara. Naomba mwenye uzoefu anipatie. Ruvuma nimeishi ila tunduru kuelekea mtwara si mwenyeji