K kasweswe Member Joined Aug 25, 2018 Posts 42 Reaction score 21 Oct 29, 2018 #1 Habarini wanajamvi....ninawazo wa kuanzisha biashara ya kusambaza nyavu katka Maziwa makuu nchini je biashara italipa.
Habarini wanajamvi....ninawazo wa kuanzisha biashara ya kusambaza nyavu katka Maziwa makuu nchini je biashara italipa.
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,959 Reaction score 24,935 Oct 29, 2018 #2 kasweswe said: Habarini wanajamvi....ninawazo wa kuanzisha biashara ya kusambaza nyavu katka Maziwa makuu nchini je biashara italipa. Click to expand... Angalizo usisambaze Nyavu za kuvua Dagaa maliasili wakiziona tu wanazitia kiberiti
kasweswe said: Habarini wanajamvi....ninawazo wa kuanzisha biashara ya kusambaza nyavu katka Maziwa makuu nchini je biashara italipa. Click to expand... Angalizo usisambaze Nyavu za kuvua Dagaa maliasili wakiziona tu wanazitia kiberiti
BAF JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 422 Reaction score 510 Oct 29, 2018 #3 Kabla ya kuanza kufanya hiyo biashara nenda kwanza wizarani then utasaidiwa kwa ajili ya kupata maelekezo.
Kabla ya kuanza kufanya hiyo biashara nenda kwanza wizarani then utasaidiwa kwa ajili ya kupata maelekezo.