Nataka kuanza kutengeneza crips (ndizi na viazi) na kusambaza madukani,Je nahitaji vifaa gani ili niweze kutoa crips bora,Je mnanishauri mashine gani itayoweza kuvimenta chap chap na kwa wingi.
Je kuna viungo vyovyote ili nitoe bidhaa tamu zaidi?
Nataka kuanza kutengeneza crips (ndizi na viazi) na kusambaza madukani ,Je nahitaji vifaa gani ili niweze kutoa crips bora ,Je mnanishauri mashine gani itayoweza kuvimenta chap chap na kwa wingi.
Je kuna viungo vyovyote ili nitoe bidhaa tamu zaidi