Wadau, Nilikuwa na mtaji mdogo nikanunua kiwanja kimoja nikakipiga fance ya wavu baada ya miezi 6 nkakiuza bei mara tatu ya niliyonunulia. Nikanunua viwili nikavipiga fance nishauza kimoja na kingine nahisi soon nitakiuza kwa faida nzuri ukizingatia bei ninayonunulia. Nafanya biashara very local je nikitaka kuifanya biashara hii iwe advance kama real estate business nizingatie yapi mana naona kama inaleta manufaa kwangu!
from my view you are already in real estate business, labda tu baadae utanogewa utakuwa unajenga nyumba ndio uuze,,,a small house for a start..good thinking