Biashara ya kuuza daftari kwa bei ya jumla

Father TZA

New Member
Joined
Jul 6, 2020
Posts
2
Reaction score
2
Habari za Kazi ndugu wadau..?

Niko mbele zenu kuomba ujuzi wa namna ya kuendesha biashara ya Kuuza Daftari Kwa bei za jumla..

Naomba nisaidie kujua hatua za kufanya ili kufanya kazi hiyo. Pia naomba kujua Nini changamoto kubwa hasa katika biashara hiyo.
 
Unataka kuuza daftari pekee??? Hauuzi bidhaa zingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…