Biashara ya kuuza jeans za kike

Biashara ya kuuza jeans za kike

Golden Trust

Member
Joined
Jan 21, 2023
Posts
33
Reaction score
44
Habari wana JamiiForums,

Naombeni msaada kwa mtu anaejua biashara hii ya kuuza jeans za kike au ambae anafanya au alishafanya ,nahitaji kuuza jeans ambazo sio za mtumba, yaani kufungua duka la kuuza jeans tu. Sasa naombeni ushauri ndugu zangu kwa mambo yafuatayo:

1. Mtaji wa hii biashara inaweza cost shng ngapi.
2. Kwa Dar machimbo ya kupata hizo jeans ni wapi na bei yake kwa jumla
3. Changamoto zake ni zipi.
4. Bei ya midoli ni shng ngapi.

Naombeni sana msaada ndugu zangu
 
Wa ukweli fashion wana Jeans nzuri chimbo la Niffah Hilo

Ipo pale msimbazi A mkono wa kushoto ukitokea Fire. Ukifika pale utapata details zote
 
Back
Top Bottom