Waweza uza kwa jumla au kwa reja reja yote ni sehemu ya biashara ndio maana tunasema wapeleke moja kwa moja sokoni, mf mtu anachukuwa viazi mviringo mbeya akifikisha sokoni moja kwa moja basi anauza kwa jumla kwa wale madalali yeye haangaiki na kutafuta wateja. Hapo unaonaje?Wakuu nashukuruni kwa ushauri wenu but hapo mnapo sema niwapeleke sokoni moja kwa moja mna maanisha sokoni kiaje?
@ths
jiwe angavu
MUBENDE
Okk, nimekupata mkuu. AHSANTEWaweza uza kwa jumla au kwa reja reja yote ni sehemu ya biashara ndio maana tunasema wapeleke moja kwa moja sokoni, mf mtu anachukuwa viazi mviringo mbeya akifikisha sokoni moja kwa moja basi anauza kwa jumla kwa wale madalali yeye haangaiki na kutafuta wateja. Hapo unaonaje?
Karibu sana na kwauzoefu wangu ktk ufugaji Faida ya biashara ya mifugo huja taratibu siojambo la haraka na uangalie pia swala la magonjwa ya ndege maana kila uwachukuwapo wnakutana wakiwa tofauti na kuku ni jamii ya ndege inayoambukizwa magonjwa haraka sana, nakiombea kila la kheri Mungu akujaalie ufanikiwe ktk hilo.Okk, nimekupata mkuu. AHSANTE