Biashara ya kuuza kuni

Biashara ya kuuza kuni

size 96

Senior Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
128
Reaction score
152
Kama nilivyo eleza juu apo naomba kujuza kuhusu biashara ya kuuza kuni kwa Dar vibali changamoto na soko lake kiujumla.
 
Mkuu hii ni biashara ambayo watu wengi wanaidharau lkn inahela sana hasa upate eneo lakuuzia uswahilini utapiga hela sana.
Ni kweli mkuu kama unavyo sema wengi wanao chukua samaki feli wa choma chips mama ntilie na uswazi wapenda shughuli wengi utumia kuni.
 
unaulizia biashara ya kuuza kuni au kuteketeza misitu
Mkuu kilimo cha miti kinafanyika baadhi ya mikoa tz amboko kwenye uvunaji kuna masalia yanabaki pia wapo wanao lima kibiashara kwa lengo la kuuza kuni kata mti panda mti
 
Wakuu habari zenu! Kuna anaefanya biashara ya kuni dar es salaam? Kwa reja reja yani.. anachukua mzigo anauza reja reja. Anielezee kidogo jinsi inavyoenda kama mtaji wa kuchukua mzigo unaeza kuanza na sh ngapi! Na uuzaji wake pia upoje! Nakaa maeneo ya uswahilini kidogo nlkua nataka nijaribu kuifanya hii biashara. Natanguliza shukurani
 
Nimeifanya io busines kwa miaka minne toka 2017 to 2020 now nimeach nna uzoef nayo mkubwa ila kwasasa ni ngumu ,vibal vipo juu na inakulazimu ukija uuze 1500 kitu ambacho kw wateja ni ngumu
 
Nimeifanya io busines kwa miaka minne toka 2017 to 2020 now nimeach nna uzoef nayo mkubwa ila kwasasa ni ngumu ,vibal vipo juu na inakulazimu ukija uuze 1500 kitu ambacho kw wateja ni ngumu
 
Back
Top Bottom