The Giant
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 504
- 96
Nina mpango wa kusupply maziwa fresh toka kibaha kuja maeneo hapa dar. Ni watu gani ni wa kuwaona wataonunua kwa bei nzuri. Coz, ntakuwa nikinunua kwa 1200/- kwa lita, nina kuna uwezo wa kupata lita kuanzia 60 hadi 100 kwa siku. Na ushauri zaidi pia nahitaji wadau!