Mku ww sio mkweli kwani pale River Side hakuna Wachaga pale kwani wauzaji jumla anayeongoza pale ni 1.Sam _MsukumaKama unataka kuuza reja reja....tafuta eneo la uswahilini kama Mbagala au kwingineko kwenye makazi yaliobanana...watu wanapuliana na kupakana jasho wakipishana.....kodi ka frame ka bei rahisi weka friza yako,nunua ndoo,vikombe,beseni,chujio,Tafuta machupa osha vizuri..
Nenda riverside stendi ya Mbagala,ulizia wanapouza maziwa kwa jumla,nenda hapo na ndoo zako chukua mzigo unapkutosha nenda kauze huko uswazi unaanza kupima kuanzia jero,buku,na kuendelea...usikose jiko la kuchemsha maziwa fresh kuna wadau wanapenda kunywa maziwa ya moto na vitafunwa kama maandazi,mikate,n.k hakikisha haukosi kila siku...
Cha kuzingatia uswazi watu wengi wanapenda maziwa ya mtindi(mgando) kwa sababu zao maalum ikiwa ni pamoja na kushibisha pia kuyatumia kama mboga hivyo utakuwa unapokea vibali,majagi,visufuria kwa ajili ya kuwapimia wateja wako wa mtindi.
Hapo Riverside wanauza maziwa kwa jumla na reja reja muda mzuri wa kuchukua mzigo ni asubuhi,changamoto wauzaji ni wezi wanapunguza maziwa na kuongeza maji ili wapate pesa ya kuondoka nayo nje ya mshahara hivyo unatakiwa uwe makini na Wachagga ndio wenye kazi.
Wanauza kwa lita hivyo ni pesa yako tu ndio itaamua uchukue kiasi gani..
Kama utahitaji misaada zaidi kuna jamaa yangu anaifanya hii biashara Mbagala yeye aliacha kuchukua mzigo hapo Riverside sasa hivi analetewa na wafugaji hapo hapo ofisini kwake...anaweza kukupa muongozo siku moja ukaenda kumtembelea uone anavyopiga kazi..
Sawa mkuu naomba uelezea biashara ya hapo inavyokuwa,mfano hao kina Sam wanauza jumla/rejareja na wananunua au wanafuga ng'ombe,bei ya maziwa kwa lita nk.Mku ww sio mkweli kwani pale River Side hakuna Wachaga pale kwani wauzaji jumla anayeongoza pale ni 1.Sam _Msukuma
2.Nyarandu au Manyonyo_Mkurya
3.Mama Maria labda huyu ndo nitakuwa Mchaga
4_Nuhu_Mgogo
5.Mchungaji_Mpare
Hawa wengine wote ni wachuruzi kwani kwani kuwa na frem river side sio sababu
Yaani mm river ndo maskani kwangu ila sijawa na ofisi bado kwani mm ni mchuruzi wa kawaida
Kitu ninachokuambia biashara ni ngumu Sana hasa mwanzoni haijalishi utapata taarifa sahihi kwa kiasi gani kutengeneza imani kwa wateja ni swala la muda cha msingi usikate tamaaHabari wanajamvi naomba kupewa muongozo kuhusu biashara ya kuuza maziwa fresh na mgando kwa mji wa Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na
*Vifaa vinavyohtajika
*Upatikanaji
*Gharama za manunuzi
*Na eneo zuri kwa biashara hii ni ipi though Nina targeting area tayar
Sam,Nyalandu na Nuhu hawa wote hawafugi ila wanavituo wa kukusanya kwa wafugaji.Sawa mkuu naomba uelezea biashara ya hapo inavyokuwa,mfano hao kina Sam wanauza jumla)rejareja na wananunua au wanafuga ng'ombe,bei ya maziwa kwa lita nk.
Kikubwa ktk biashara ni uvumilivu na kujikubali pamoja na kuibrand basi.Kitu ninachokuambia biashara ni ngumu Sana hasa mwanzoni haijalishi utapata taarifa sahihi kwa kiasi gani kutengeneza imani kwa wateja ni swala la muda cha msingi usikate tamaa
Njoo nikupe connection nzuri upate maziwa moja kwa moja kutoka kwa mfugaji,maeneo ya Kibiti,Mkuranga na Ngerengre MoroKunauwezekano wa kuwa unatoa maziwa Moro to dsm
Nidadavulie namna Naweza Pata au Kuna masupplier
Mku Kibiti na Mkuranga kwa Mtindi Lita utaniuzia kwa bei ganiNjoo nikupe connection nzuri upate maziwa moja kwa moja kutoka kwa mfugaji,maeneo ya Kibiti,Mkuranga na Ngerengre Moro
Vitabu vya mafunzo walitoa watu wa SidoSido kulikuwa na Training Usindikaji na maziwa ikiwa ni sehemu ya iliyoisha mwezi wa nane kwani mm ni mmoja wapo niliyehudhuria.
Ila usindikaji wa maziwa ni Topic kamili kwani kuna haya yafuatayo-
Uandaji maziwa yenyewe kama mtindi, Jibini na Samli
Pia nakumbuka walitoa ahadi ya kuiandaa hiyo Training yake
5 ltrs 8,000tshKiluvya ni maziwa mazuri zaidi River Side.
Lita wanauza bei gani
Asante Mku5 ltrs 8,000tsh
Kuna frame ipo nyuma ya stendi ya Mbagala wauzaji mpaka boss wote ni Wachagga...kama unamfahamu Zena ndio muuzaji hapo nilikuwa nachukua Maziwa kwake,Nje ya hiyo frame kuna mgahawa upande wa kushoto kulia kuna mafundi wa milango madirisha ya aluminium.Mku ww sio mkweli kwani pale River Side hakuna Wachaga pale kwani wauzaji jumla anayeongoza pale ni 1.Sam _Msukuma
2.Nyarandu au Manyonyo_Mkurya
3.Mama Maria labda huyu ndo nitakuwa Mchaga
4_Nuhu_Mgogo
5.Mchungaji_Mpare
Hawa wengine wote ni wachuruzi kwani kwani kuwa na frem river side sio sababu
Yaani mm river ndo maskani kwangu ila sijawa na ofisi bado kwani mm ni mchuruzi wa kawaida
Kaka nakuomba ibox tutete JamboHii biashara ya maziwa sio mbaya ni moja biashara kama zilivyo biashara nyingine.
Ila tatizo linakuja ktk ukweli wa maziwa yenyewe kwani wauza maziwa wengi wanatenda sana dhambi na siku utaingia ktk hii biashara itaiona dhambi yenyewe japokuwa ni biashara yenye faida lakini bado wauzaji kuanzia anayeuza jumla na rejareja ni wenye tamaa na wasio wakweli.
Na hawa wajumla kasumba yao kubwa ni jeuri hasa kipindi hiki ambacho maziwa ni adimu kutokana na kiangazi.
Mm ni muuzaji wa rejareja na jumla sijafikia kiwango cha kujisifia yakuwa nauza jumla kwani pale ambapo nitakapoanza kuandaa mwenyewe ndo nitakuwa tayari kumwelekeza mtu vizuri zaidi.
Mm kwa sasa ni mchuruzi bado karibu ktk hii biashara lile ambalo.na uwezo nalo nitawaelekeza kwani mm ndo miaka miwili kwenye hii kazi