M macsompo Member Joined Feb 1, 2019 Posts 5 Reaction score 2 Feb 15, 2019 #1 Nataka kuuza mitungivya oxygen kwa ajili ya kuchomelea.. tatizo nime shindwa kuwapata ma supplier.. nipo mbeya Sent from my iPhone using JamiiForums
Nataka kuuza mitungivya oxygen kwa ajili ya kuchomelea.. tatizo nime shindwa kuwapata ma supplier.. nipo mbeya Sent from my iPhone using JamiiForums
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Feb 17, 2019 #2 macsompo said: Nataka kuuza mitungivya oxygen kwa ajili ya kuchomelea.. tatizo nime shindwa kuwapata ma supplier.. nipo mbeya Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Kufanya biashara maana yake ni kutatua tatizo lililopo mahali na kufaidika kwa malipo. Sasa ndugu kama hakuna ma suppliers manake hiyo ndio fursa sasa, kuwa supplier na muuzaji ndio utateka biashara vizuri.
macsompo said: Nataka kuuza mitungivya oxygen kwa ajili ya kuchomelea.. tatizo nime shindwa kuwapata ma supplier.. nipo mbeya Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Kufanya biashara maana yake ni kutatua tatizo lililopo mahali na kufaidika kwa malipo. Sasa ndugu kama hakuna ma suppliers manake hiyo ndio fursa sasa, kuwa supplier na muuzaji ndio utateka biashara vizuri.