Hi members
ninampango wa kuwa dealer/agent wa sigara. Wakati naendelea na utafiti wa jinsi mchakato mzima wa uuzaji na mikakati mbalimbali ya biashara hii, naomba kama mwenye uzoefu wa hii biashara anisaidie kunipa mbinu ya kuuza mzigo fasta na kudili na wateja. Pia jinsi ya kushindana na agents wengine. Msaada plz katika ujenzi wa taifa
Mkuu kufikiri kote huko ndio umekuja na mradi wa kuwaua watanzania wenzako taratib sio...kwa nini usifikirie kuwa agent wa kuuza mahindi,maharage,karanga kwa kifupi nafaka,kwani ni biashara ambayo haina msimu enh?...haya mkuu mjasiliamali kila la heri ni deal nzuri inayolipa,siunajua tena hata uchumi wa kataifa ketu haka unategemea asilimia nyingi tu kutoka katika biashara zinazowauwa wananchi.
Don.