Biashara ya kuuza vitafunwa

Biashara ya kuuza vitafunwa

kichwakili

Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
27
Reaction score
23
Wakuu naomba kujua biashara ya vitafunwa kama inalipa.

Nina mtaji wa sh 300,000/= je, naweza kufanya biashara hii kwa mtaji huo, namaanisha vitafunwa kama maandazi, sambusa, chapati, eggchop, kababu nk: vitafunwa hivyo vikiambatana na juice, soda na maziwa.

Kwa aliyewahi kufanya biashara hii naomba anipe mwongozo asanteni.
 
Inalipa sema zingatia location

Mfano sokoni, stendi, shuleni nk

Fanya kama mgahawa kabisa unaweka chai, juice na supu itanoga
 
Back
Top Bottom