miss naire
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 237
- 228
Mwenye uelewa kuhusu hii biashara naomba dondoo, mzigo unapatikana vipi, ni China au Congo? Ukihitaji kuanza mtaji unagarimu kiasi gani naomba mwenye uelewa hapa anijuze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana, na je Congo mnavyo chukulia ni hizi wax na java au? Mana java nyingi au wax nyingi zimeandikwa made in China naomba kufaham pls na bei kule inakuwaje?? swala la kuuza hakuna shida ntakuwa na frem lakin pia kuuza online nitauza.
mpimbwe ndo wapi huko?
Aisee biashara nzuri hyoNipo sehemu kijiji kinaitwa Mpimbwe ni kazi imenileta huku kwa muda, nimeshangaa sana yale mavitenge na 50,000 mpaka 65,000 unatoa mapande 3 vinauzwa 35 hadi 40
Mahindi debe 6,000
Mpunga debe 7,000