miss naire
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 237
- 228
Nashukuru sana, na je Congo mnavyo chukulia ni hizi wax na java au? Mana java nyingi au wax nyingi zimeandikwa made in China naomba kufaham pls na bei kule inakuwaje?? swala la kuuza hakuna shida ntakuwa na frem lakin pia kuuza online nitauza.
mpimbwe ndo wapi huko?
Aisee biashara nzuri hyoNipo sehemu kijiji kinaitwa Mpimbwe ni kazi imenileta huku kwa muda, nimeshangaa sana yale mavitenge na 50,000 mpaka 65,000 unatoa mapande 3 vinauzwa 35 hadi 40
Mahindi debe 6,000
Mpunga debe 7,000