Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Habari za leo wakuu;
Baada ya kupigwa sana na kuhangaika na watu mpaka level za kimahama kuhusu kuibiwa idea mbali mbali. Sasa nimekuja kwenu wadau kuomba hekima zenu kwa biashara hii ambayo tayari nimeanza kuona matunda yake.
Ni Biashara Ya kuuza wazo la biashara, wazo la kutafuta jina la biashara yako, wazo la kutengeneza logo yako from scratch na pia wazo la namna nzuri ya kuendesha biashara yako kisasa.
Naenda strait to the point ila kabla sijawapa majina matatu ambayo nimeyaweka sokoni na nimesajili hadi nembo kabisa maana tukielewana nakupa full package ili sasa wewe ukapambane nayo na pia tutakuwa tunashirikiana kimkataba mpaka pale utakapo ona sasa inabidi ukae peke yako.
Majina ambayo mpaka sasa yapo sokoni.
1. GUANGZHOU OF TANZANIA
Wazo hili nilipata baada ya kuona watu wengi wanaenda China kwa ajili ya kununua ama kufunga mizigo yao. Sasa asilimia nyingi ni watu wenye vipato vikubwa. Sasa je wafanyabiashara wadogo wadogo ambao mitaji yao sio mikubwa watafanyaje ? Ndio maana hili wazo likaja kwa tufungue wholesale and retail warehouse kubwa kwa ajili ya biashara hii.
NB; Ukifanya partnership na mchina ambaje ana mtaji mkubwa utawin sana. Nimefanya research hakuna mtu amesajili kwa brand name ya GUANGZHOU OF TANZANIA. Ukiiba hii idea haswa jina tutakutana mahakamani.
2. KIRAKA CHA MOTO
Hii idea niliipata kwa fundi baskeli na shue shine nikiwa Mbeya nimeenda kushona kiatu changu ghafla akaja mdada of course alikuwa na wowowo zuri sana. Basi fundi akamshonea kiatu chake then akaondoka kwa mwendo maridadi kabisa. Nikawa nimevutiwa sana na huyo dada, nikamuuliza fundi unamjua huyu, akaniambia kaka huyu dada ni KIRAKA CHA MOTO ana ukimwi na anaambuliza sana watu, So usijaribu hata kumsogelea.
Nilipenda sana hili jina la KIRAKA CHA MOTO.
Hapa nitatoa idea 3 za kiraka cha moto.
1. KIRAKA CHA MOTO SPARES AND CAR ACCESORIES
2. KIRAKA CHA MOTO FUMIGATION
3. KIRAKA CHA MOTO CAR WASH
nyingine mtajazia.
3. IRON DOME
Wengi wetu mbajua maana ya iron dome.
What if ukaanzisha kampuni yako ya ulinzi ukaiita.
1. IRONE DOME SECURITY SERVICES.
2. IIRONE DOME TECHNOLOGIES
Mengine mtajazia jazia.
Nawasilisha:
Kama utataka idea njoo PM, au njoo kabisa ofisini kwangu Ukonga Banana. Ahsante