Mr No fair
Member
- Oct 25, 2020
- 84
- 122
Nina lengo la kuagiza machine nje kwaajili ya biashara hii nadhani ni Mpya nachowaza sana ni soko na namna ya kuitangaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa cherehani hauwezi kushona ule upinde unaozunguka GOdoro zaidi wanalazimika kushona GOdoro Kwa kuweka zipu kitu ambacho kinaondoa value ya GOdoro machine ninayoizungumzia ni ile ya kushona ile tape inayozunguka GOdoro (TX)Godoro lina fanyiwa repair kwa patex Cover zinashonwa na mafundi cherehani. So sikushauri kununua mashine kabla hujawa na soko la uhakika
Shukrani mkuuNatumaini itakuwa biashara nzuri , muhimu ni kujitangaza maana inakuwa mpya kwa wateja