Mr No fair Member Joined Oct 25, 2020 Posts 84 Reaction score 122 Sep 24, 2024 #1 Nina lengo la kuagiza machine nje kwaajili ya biashara hii nadhani ni Mpya nachowaza sana ni soko na namna ya kuitangaza
Nina lengo la kuagiza machine nje kwaajili ya biashara hii nadhani ni Mpya nachowaza sana ni soko na namna ya kuitangaza
M masagati JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 492 Reaction score 357 Sep 30, 2024 #2 Natumaini itakuwa biashara nzuri , muhimu ni kujitangaza maana inakuwa mpya kwa wateja
mosabiy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 2,521 Reaction score 1,927 Sep 30, 2024 #3 Godoro lina fanyiwa repair kwa patex Cover zinashonwa na mafundi cherehani. So sikushauri kununua mashine kabla hujawa na soko la uhakika
Godoro lina fanyiwa repair kwa patex Cover zinashonwa na mafundi cherehani. So sikushauri kununua mashine kabla hujawa na soko la uhakika
Mr No fair Member Joined Oct 25, 2020 Posts 84 Reaction score 122 Oct 2, 2024 Thread starter #4 mosabiy said: Godoro lina fanyiwa repair kwa patex Cover zinashonwa na mafundi cherehani. So sikushauri kununua mashine kabla hujawa na soko la uhakika Click to expand... Kwa cherehani hauwezi kushona ule upinde unaozunguka GOdoro zaidi wanalazimika kushona GOdoro Kwa kuweka zipu kitu ambacho kinaondoa value ya GOdoro machine ninayoizungumzia ni ile ya kushona ile tape inayozunguka GOdoro (TX)
mosabiy said: Godoro lina fanyiwa repair kwa patex Cover zinashonwa na mafundi cherehani. So sikushauri kununua mashine kabla hujawa na soko la uhakika Click to expand... Kwa cherehani hauwezi kushona ule upinde unaozunguka GOdoro zaidi wanalazimika kushona GOdoro Kwa kuweka zipu kitu ambacho kinaondoa value ya GOdoro machine ninayoizungumzia ni ile ya kushona ile tape inayozunguka GOdoro (TX)
Mr No fair Member Joined Oct 25, 2020 Posts 84 Reaction score 122 Oct 2, 2024 Thread starter #5 masagati said: Natumaini itakuwa biashara nzuri , muhimu ni kujitangaza maana inakuwa mpya kwa wateja Click to expand... Shukrani mkuu
masagati said: Natumaini itakuwa biashara nzuri , muhimu ni kujitangaza maana inakuwa mpya kwa wateja Click to expand... Shukrani mkuu