Wana Jamiiforums habari za kushinda!
Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na kufunga kama kiwanda kidogo.
Najaribu kufungua ukurasa mpya wa kuwa mjasiriamali baada ya kuhangaika sana na biashara hizi za kawaida kama vile mazao, mara kuuza mtindi n.k natumaini nitapata mawazo ya aina zote ili nijuwe changamoto zilizopo.
Karibuni kwa ushauri