bonge la idea kaka kwenye viwand ndioo kuna elaa hukWana Jamiiforums habari za kushinda!
Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na kufunga kama kiwanda kidogo.
Najaribu kufungua ukurasa mpya wa kuwa mjasiriamali baada ya kuhangaika sana na biashara hizi za kawaida kama vile mazao, mara kuuza mtindi n.k natumaini nitapata mawazo ya aina zote ili nijuwe changamoto zilizopo.
Karibuni kwa ushauri
Wana Jamiiforums habari za kushinda!

bonge la idea kaka kwenye viwand ndioo kuna elaa huk
Mjasiriamali ni Nani?mjasiriamali
Wana Jamiiforums habari za kushinda!
Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na kufunga kama kiwanda kidogo.
Najaribu kufungua ukurasa mpya wa kuwa mjasiriamali baada ya kuhangaika sana na biashara hizi za kawaida kama vile mazao, mara kuuza mtindi n.k natumaini nitapata mawazo ya aina zote ili nijuwe changamoto zilizopo.
Karibuni kwa ushauri
kwenye plastic tupe ufafanuz kdg mkuuKama ana mtaji awekeze kwenye plastic
Misumari atajuta maana raw material 99% unanunua nje ikiwa semi- finished bei zinapanda kama uyoga[emoji3]
Massawe tupe maarifa msee wangu, kwenye plastic tutatokaje mbe kanyi.Kama ana mtaji awekeze kwenye plastic
Misumari atajuta maana raw material 99% unanunua nje ikiwa semi- finished bei zinapanda kama uyoga[emoji3]
Nisijaribu kwa nini mbona husaidii mawazo kwn nitakwama wapi, input yako inaweza kuwa na mchango mkubwa sana kwangu na kwa wengineUsijaribu.
Usijaribu.
Ninavyojuwa mimi kwa haraka haraka material yake inapatikana hapahapaKama ana mtaji awekeze kwenye plastic
Misumari atajuta maana raw material 99% unanunua nje ikiwa semi- finished bei zinapanda kama uyoga[emoji3]
Vyovyote itakavyokuwa lengo kubwa ni kuingia kwenye productionMjasiriamali ni Nani?
Mjasiriamali ni yule mtu ambae anaweza akamkabidhi Biashara mtu mwingine aiendeshe kisha yeye akakaa pembeni kwa muda wa miaka mitatu kisha akarudi kwenye Biashara yake na kukuta biashara haijafa na imezalisha faida mara dufu na kuzalisha Biashara nyingi nyinginezo, Dangote
Je! Wewe ni mjasiriamali au ni mtu alieamua kujiajiri mwenyewe?
kwmba raw material yanapatikn apa apa tanzania auNinavyojuwa mimi kwa haraka haraka material yake inapatikana hapahapa
Bro. Naomba tushirikiane kwenye hiyo projectWana Jamiiforums habari za kushinda!
Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na kufunga kama kiwanda kidogo.
Najaribu kufungua ukurasa mpya wa kuwa mjasiriamali baada ya kuhangaika sana na biashara hizi za kawaida kama vile mazao, mara kuuza mtindi n.k natumaini nitapata mawazo ya aina zote ili nijuwe changamoto zilizopo.
Karibuni kwa ushauri
Hiyoo ndo sababu ya kumwambia asijaribu.Ninavyojuwa mimi kwa haraka haraka material yake inapatikana hapahapa
Kweli wanazingua sana kukuuzia...Kama alivyosema Gilbert A Massawe hapo juu issue ni upatikanaji wa raw materials. Asilimia kubwa utaagiza nje ya nchi.
Kingine kama utapata supplier local kwa asilimia kubwa atakuwa Mhindi maana ndiyo wengi wana viwanda vya chuma ambao wataweza kukuuzia raw materials., sasa ikitokea wao wahindi ndiyo importer wakubwa wa misumari toka nje watakachofanya ni kukucheleweshea materials au kukunyima kabisa siku unahitaji sana ili wauze stock zao.
Kama utategemea raw materials toka nje angalia kama itakulipa maana unaweza tengeneza ukakuta gharama zako hadi uuze ni kubwa kuliko wanaagiza nje.
Vinginevyo kila la heri mkuu.