biashara ya kuzalisha na kusambaza maji msaada

biashara ya kuzalisha na kusambaza maji msaada

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
habari zeu wakuu...mimi ninaomba mnisaidie mawazo na uzoefu weny katika hili.
ninataka kuanzisha biashara ta maji ya makopo (kama dasani au kilimanjaro,uhai n.k) lakini lengo langu ni kwa mikoa ya kusini kwanza.sasa sijajua process ya kuanza nao.....kw kifupi nahitaji wataalam hapa mnipe muongozo kuhusu

1.mtaji unaweza kughalimu tsh ngapi
2.wapi nitatengeneza zile chupaza plastic na gharama zake
3.vifaa au mitambo inayohitajika na jinsi ya upatikanaji.....
 
Kwakwel ts need alot of money nyway viwanda vikubwa wanavyozalisha maji kama sayona waanauza chupa kubwa za ltr 20 bt chupa ndogo hawauzii so linakuwa tatizo u nid to hv ur own machine ambay utaproduce chupa..
 
Mitambo hadi ku import. ..kutoka nchi kama china ..india na nyingine zilizo endelea
 
Back
Top Bottom