Yaani biashara ni rahisi sana kwa kuongea na kwenye maandishi, wakuta mtu ananunua na kuuza na kupata faida kwa muda maalum kabisa kwa maneno yaani utazani ni one way hadi kufanikiwa.
Nawasihi tuu kwa wanaoanza from beginning hasa vijana wailokosa ajira na kulazimika kufanya biashara, biashara ni maisha fanya kama daily routine usiwe na matarajio makubwa sana wala usiifanye kimazoea.
Biashara for beginners ni ngumu kiasi inahitaji mtu awe na matarajio ya katikati yasiwe makubwa sanah na siku zote inakuwaga kinyume na mipango ya kwenye karatac, tuiishi biashara na si kufanya biashara coz is not shortcut wayKivip fafanua kidogo
Sahihi [emoji419] ata kuelezea kilimo katika maandishi ni rahisi ishu ni vitendoYaani biashara ni rahisi sana kwa kuongea na kwenye maandishi, wakuta mtu ananunua na kuuza na kupata faida kwa muda maalum kabisa kwa maneno yaani utazani ni one way hadi kufanikiwa.
Nawasihi tuu kwa wanaoanza from beginning hasa vijana wailokosa ajira na kulazimika kufanya biashara, biashara ni maisha fanya kama daily routine usiwe na matarajio makubwa sana wala usiifanye kimazoea.
Upo sahihi mkuu biashara ni mapambano, ubunifu na uvumilivu sio tu kutafuta mtaji na kuanza ukazani ni lele mamaUgumu wa biashara huja kwenye suala la kuadapt, kwa sababu mara nyingi huwa kuna unforeseen circumstances zinazolazimu ubadili business model ili upate faida na biashara ikue. Sasa wengi tumezoea theories za darasani wakati kwa ground au mtaani mambo hubadilika muda wowote.
Kivipi mkuuBiashara ni rahisi ila watu ndo wanafanya biashara iwe ngumu.
Sasa ukitaka kuona ugumu zaidi jaribu kufata formula yamakaratasi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hakuna rangi utaacha onaUgumu wa biashara huja kwenye suala la kuadapt, kwa sababu mara nyingi huwa kuna unforeseen circumstances zinazolazimu ubadili business model ili upate faida na biashara ikue. Sasa wengi tumezoea theories za darasani wakati kwa ground au mtaani mambo hubadilika muda wowote.
Kitu kimoja nachoaminigi Kuna kitu wanasema WITO je wewe wito wako ni biashara? Maana Kama sio wote wachungaji basi sio wote wafanya biasharaImagine mtu anafanya biashada kwasababu tu vunjabei anafanya.
Imagine tu unawekeza pesa za kuanzia biashara ambazo hujuwi zinafanyikaje.
Imagine tu kufanya biashara huna data ya biashara unayoenda kufanya.
Imagine tu mtu anakuambia nina laki hapa nataka nifanye biashara ila sijuwi biashara gani.
Hapo ukipata lost unaanza ohh biashara ngumu
Kitu kimoja nachoaminigi Kuna kitu wanasema WITO je wewe wito wako ni biashara? Maana Kama sio wote wachungaji basi sio wote wafanya biashara
Hapa motivesheni spika wameharibu sanaKwenye kila kitu kuna kujifunza na kujifunza kuzuri ni kujifunzia field yaani ukiwa unafanya, tatizo wengi tunakuwa na matarajio makubwa kwenye biashara kutokana na mipango ya kwenye makaratasi