Biashara ya laptop

Biashara ya laptop

Joined
Jun 20, 2014
Posts
11
Reaction score
0
Wadau habr zenu na habar ya majukum ya kila siku,ebhn ninalaptop yangu mpya ninauza kwa bei poa tu,kwa wale wanaozijua laptop,specification za hy laptop n hard disk 1TB(1000GB),RAM 4GB na processor ni core i3 na aina ya laptop ni dell inspiron za kam mkeka si zile za zaman ,bei ni poua 2 kwa mawasiliana tumia hii no 0768359292,majukumu mema wadau
 
Bei poa ndio bei gani?
 
Back
Top Bottom