Habari wakuu naomba wataalam au waliowahi kufanya, wanatarajia wanafanya Biashara hii ya lodge au maarufu kama bandas. Zinakuwa kama kota, zenye mazingira tulivu yenye garden kiasi na sehemu ndogo ya chakula na vinywaji kama picha inavyoonekana hapo..Tupeane tips kidogo uendeshaji wake, location , changamoto zake ,faida zake zikoje pia.
Hapana mkuu picha ya mtandaoni hizi Bandas ziko Asia huko, nafikiria hii project kwa miaka 5/10 mbele nianze kuandaa mazingira sasa.. nilitamani kupata tips ya hii Biashara ili nipate mwanga.