adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 May 10, 2015 #1 habari wanajumuiya, ningependa kufahamu kampuni nzuri ya kufanyia biashara ya kuuza LUKU ambayo ina maslahi mazuri kiasi? natanguliza shukrani
habari wanajumuiya, ningependa kufahamu kampuni nzuri ya kufanyia biashara ya kuuza LUKU ambayo ina maslahi mazuri kiasi? natanguliza shukrani
asubuhi sana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 1,667 Reaction score 1,411 May 10, 2015 #2 adakiss23 said: habari wanajumuiya, ningependa kufahamu kampuni nzuri ya kufanyia biashara ya kuuza LUKU ambayo ina maslahi mazuri kiasi? natanguliza shukrani Click to expand... Unataka kunikumbusha nimenunua umeme Jana kwa Tigo pesa wa Tsh 50000 sjapata token ! Cha ajabu walichanga wapangaji ! Duu sijui itakuwaje ! Mmmh
adakiss23 said: habari wanajumuiya, ningependa kufahamu kampuni nzuri ya kufanyia biashara ya kuuza LUKU ambayo ina maslahi mazuri kiasi? natanguliza shukrani Click to expand... Unataka kunikumbusha nimenunua umeme Jana kwa Tigo pesa wa Tsh 50000 sjapata token ! Cha ajabu walichanga wapangaji ! Duu sijui itakuwaje ! Mmmh
N nimuchu Member Joined Oct 25, 2014 Posts 30 Reaction score 4 May 11, 2015 #3 asubuhi sana said: Unataka kunikumbusha nimenunua umeme Jana kwa Tigo pesa wa Tsh 50000 sjapata token ! Cha ajabu walichanga wapangaji ! Duu sijui itakuwaje ! Mmmh Click to expand... Pole ndugu, kama ni waungwana watakuelewa tu
asubuhi sana said: Unataka kunikumbusha nimenunua umeme Jana kwa Tigo pesa wa Tsh 50000 sjapata token ! Cha ajabu walichanga wapangaji ! Duu sijui itakuwaje ! Mmmh Click to expand... Pole ndugu, kama ni waungwana watakuelewa tu