Biashara ya m

Joined
Sep 5, 2019
Posts
19
Reaction score
16
Habari zenu wakuu

Kama kichwa kinavyojieleza’ hivi unahitaji mtaji wa kiasi gani ili kuanza biashara ya chakula? (Catering) ukitoa kodi la pango, I mean vyombo na nafaka

Pia changamoto zake nahitaji kufahamu

Na sehem ipi nzuri kwa dar (yenye unafuu)

Na mchanganuo wake

Asante!
 
Wanakuja mkuu
 
Rekebisha title ya uzi basi,yan nimekuja fasta nlijua biashara ya kundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…