Biashara ya madini aina ya sunston

G.25

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
1,737
Reaction score
1,891
Nina mawe aina ya sunston. Kwa aliepo Dar au Arusha naomba anijuze bei ya madini hayo kwa Kg. nipo Morogoro
 
Na km unazo nyengine nitafute ama tuma picha humu na yawe kuanzia gram5...0716121313
 
Hizo zinachukuliwa na mtu ninae kilo elf15...ni hela hiyo.na hongkong kilo ni dola50
 
Hizo zinachukuliwa na mtu ninae kilo elf15...ni hela hiyo.na hongkong kilo ni dola50
bei yake mbn iko chini mm nna wadosi wako msisiri, Kinondoni wanachukua kwa bei zaidi ya hiyo....muulize tena bei hyo jamaa wa hongkong
 
Hio ndio bei niliokupa ya uhakika..manake tani moja ni dola 50000 kwa hongkong mbona ni bei mzuri tu
 
Hio ndio bei niliokupa ya uhakika..manake tani moja ni dola 50000 kwa hongkong mbona ni bei mzuri tu
Nna wadosi wananunua hii ya chamkoroma kg 18000
 
Attachments

  • 20150608_055836.jpg
    443.3 KB · Views: 265
bei yake mbn iko chini mm nna wadosi wako msisiri, Kinondoni wanachukua kwa bei zaidi ya hiyo....muulize tena bei hyo jamaa wa hongkong

Msisiri no kinondoni IPI? Wananunua being gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…