Enno Temba
Member
- Sep 30, 2015
- 29
- 6
hiyo garnet,ruby,tormaline hazina bei fixed inatokana na jiwe lako kwanzia color,clarity,carat ngap ....dhahabu kwa standard na soko la tz ni kwanzia elfu sitini hadi themanini per gram ikitegemea quality ya dhahabu yako
hiyo garnet,ruby,tormaline hazina bei fixed inatokana na jiwe lako kwanzia color,clarity,carat ngap ....dhahabu kwa standard na soko la tz ni kwanzia elfu sitini hadi themanini per gram ikitegemea quality ya dhahabu yako
Ukiwa na million mbili unaweza kufanya hii biashara mkuu
Mkuu mm naona maumivu tu sahvi biashara hii
Ova
Ngj ntakja shusha nondo sahv naweza shusha nondo nkavuka mstari maana kichwa kishapata stimu za tungiMkuu ungetupa ABC kidogo za mambo yalivyo saivi kwenye soko
Ha ha ha ha haNgj ntakja shusha nondo sahv naweza shusha nondo nkavuka mstari maana kichwa kishapata stimu za tungi
Ova
Nko maji mm 24/7 nko high labda kama kuna mipango ya kazi ndy sinywiHa ha ha ha ha
kuna makoro ambayo yameungua na moto wa baruti haya kwanzia elfu 30 mpaka laki moja nausheee....ila ukikutana na tanzanite grade aaa .... carat moja ni kwanzia laki 6 hadi 1.4mln hapo ukikutana na super dealer mzuri ila mabroker ndo watakupa hela ndogoShukran mkuu nimekupata vizuri ila ungenifahamisha tu bei zake huwa zinarange shg ngapi hadi shingi ngap (garnet, ruby, tormaline)
ni ngumu sana bado makash kash mengi vibali,ugeni wakoUkiwa na million mbili unaweza kufanya hii biashara mkuu
Dm namba yako tuongee vizuri mkuukuna makoro ambayo yameungua na moto wa baruti haya kwanzia elfu 30 mpaka laki moja nausheee....ila ukikutana na tanzanite grade aaa .... carat moja ni kwanzia laki 6 hadi 1.4mln hapo ukikutana na super dealer mzuri ila mabroker ndo watakupa hela ndogo
Dm namba yako tuongee vizuri mkuu