Biashara ya madini Arusha

Mkuu muda sana nmetoka huko
Sahvi niko kwenye metals sana
Labda masoko ndy naonganisha watu
Kuwapa connection,si unajua kama kawa mm sinaga uchoyo...

Ok..hilo jiwe umelipata wapi
Mbona linaonekana kama synthetic au volcanic stone

Ova
 
Mimi nlikuwa na waza biashara ya tanzanite sema sijapata pakuanzia baadhi ya watu nliyo kuwa nafahamiana nao mirerani sina namba zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…