Super H
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 1,070
- 405
Heshima kwenu wadau wa businesses.
nimekuwa nikiwafuatilia wafanyabishara wa hizi bidhaa za mali za asili kama kama mkaa , mbao , samaki , madini .
wengi niliowadadisi wanatumia uchawi .
kuna mmoja wa madini nishawahi kupanga naye jirani waganga hawaishi kuja kwake.
__kipi unachokijua wewe kwenye hizo businesses?