Kuhusu madini asee ni kweli. Huwezi chimba madini ukayapata kama wewe si mshirikina.
Niliwahi ishi na hawa wachimba madini zamani kidogo. Wakitaka kujua sehemu gani kuna madini. Huwaga wanawafuata sangoma wale wanaotumia kitabu. Nishawahi lala na sangoma huyo nikamdadisi how it is working kujua sehemu hii ina madini au la.
Akaniambia very interesting story. Kuna kisomo anakisoma. Kisomo hicho ni haram kwani kinaelezea ukweli kwa kitu chochote kilichojificha. Yaani ni hivi. Kisomo hichi kilitumika vitani enzi hizo mtume anahama kutoka makka kwenda madina. baada ya vita kuwa vikali mtume alikwenda akajificha kwenye pango.Basi wale makafiri baada ya kumtafuta kwa muda mrefu bila mafanikio wakakusanya wachawi wote wakuu na kuanza kufanya kisomo hicho.
moja kwa moja kisomo kikawadirect mpaka kwenye pango hilo alojificha mtume. Ila tu wakapumbazwa na buibui alojenga kwenye uwazi wa pango lile na wakaona asineweza jificha pale. Lakini hiyo mistari haidanganyi asee. na ilishalaaniwa kusomwa.
So Sangoma yule akisoma hua anatoa direction sehemu gani madini yapo then uchimbaji huanza fasta then watu wana make money asee maisha haya!