Biashara ya madini (ruby na soko lake)

Biashara ya madini (ruby na soko lake)

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
1,262
Reaction score
1,773
Wanajf!
natumaini nyote mu wazima mkiendelea vyema kulijenga taifa letu.
nauliza soko la madini ya ruby kwa dar na kama unafahamu bei kwa point na mambo mengineyo, tafadhali naomba nijulishe.

ninazo na naziuza.

ASANTE KWA MSAADA WENU
 
Ni-pm kaka nkuunganishe na mdau aliyefanya hzo ishu na anayajua sana hayo makitu.au nichek kwa namba 0717465686
 
Biashara ya madini sio kama nyanya kwa kawaida wanunuz kila mmoja anakua na bei yake inabidi uzunguke ili kupata bei utakayoridhika nayo wewe upo hapo?
 
Nami napata picha hapa mkuu, biashara nyingine si zakutangaza, watakuua ndugu.
 
Back
Top Bottom