Wanajf!
natumaini nyote mu wazima mkiendelea vyema kulijenga taifa letu.
nauliza soko la madini ya ruby kwa dar na kama unafahamu bei kwa point na mambo mengineyo, tafadhali naomba nijulishe.
Biashara ya madini sio kama nyanya kwa kawaida wanunuz kila mmoja anakua na bei yake inabidi uzunguke ili kupata bei utakayoridhika nayo wewe upo hapo?