Biashara ya madini ya dhahabu

Biashara ya madini ya dhahabu

Joined
Jun 9, 2017
Posts
17
Reaction score
3
Hello natumai wote ni wazima kabisa na wa afya iliyo bora kabisa,

Jamani mimi nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1?

Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza.

1618481424950.png
 
Helo natumai wote ni wazima kabisa na wa afra iliyo bora kabisa
Jamani mm nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1? Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza
Mfanyabiashara wa madini ni kati ya binadamu wenye roho ngumu zaidi duniani. Mtu wa madini huthamini zaidi atakachokipata kuliko alichonacho, kupoteza pesa kwake ni kawaida sana.

Kama unataka kuanza tafuta broker mzoefu unaemwamini mfanye kazi pamoja (ila kupigwa muhimu[emoji1]) paka pale utakapouelewa mchezo.. dhahabu ukienda kichwakichwa unaweza poteza 3M within a minute, utauziwa paka machuma ya bomba za maji.

Au nenda small scale ukahudumie wachimbaji paka siku watakapoupata mwamba wa madini (hapa risk ni kubwa zaidi ila ukibahatika pesa utazikimbia).
 
Kuhudumia unaweza hudumia then ikala kwako...! mie nanunua dhahabu za mwalo wa kwangu..means mteja anakuja anasaga kwangu akichenjua nanunua mm dhahabu..ss kuna faulo za kufa mtu...anakuja kota mwingine anamuuliza huuu unamiuzia sh ngap?anamwambia 72000/=anamwabia mie nanunua 74😂😂...!hao wanaonunua 74 wamechezea sana mizan zao..wajuvi wanakataa...!
 
Umetumia mda gani Ku master hizi mambo

Kota ni mnunua dhahabu?
 
Mfanyabiashara wa madini ni kati ya binadamu wenye roho ngumu zaidi duniani. Mtu wa madini huthamini zaidi atakachokipata kuliko alichonacho, kupoteza pesa kwake ni kawaida sana.

Kama unataka kuanza tafuta broker mzoefu unaemwamini mfanye kazi pamoja (ila kupigwa muhimu[emoji1]) paka pale utakapouelewa mchezo.. dhahabu ukienda kichwakichwa unaweza poteza 3M within a minute, utauziwa paka machuma ya bomba za maji.

Au nenda small scale ukahudumie wachimbaji paka siku watakapoupata mwamba wa madini (hapa risk ni kubwa zaidi ila ukibahatika pesa utazikimbia).
Ok nimekupata ndugu shukran
 
Umeanza kwa muda gani kufanya hii shughuli
Kuhudumia unaweza hudumia then ikala kwako...! mie nanunua dhahabu za mwalo wa kwangu..means mteja anakuja anasaga kwangu akichenjua nanunua mm dhahabu..ss kuna faulo za kufa mtu...anakuja kota mwingine anamuuliza huuu unamiuzia sh ngap?anamwambia 72000/=anamwabia mie nanunua 74[emoji23][emoji23]...!hao wanaonunua 74 wamechezea sana mizan zao..wajuvi wanakataa...!
 
.yes kota mnunua dhahabu...nina muida kias..8mths hv..!sema naambiwa nna bahati tu😅😅!usmart unahitajika
Dah najikuta natamani sana haya mambo!!

Nipo zangu bado sumbwe, ntatafuta gap nije nipite apo angalia fursa
.
Walau nije nifungue ki restaurant ya kisasa Dada angu uwe unakula sehemu nzuri.

Japo inaonekana wachimbaji wamezoea misosi ya mama ntilie oya oya.
 
Siku hizi kuna masoko ya dhahabu Why can't he go there. AU yeye business plan yake ikoje

Back
Top Bottom