Hassan samaras
Member
- Jun 9, 2017
- 17
- 3
Sasa si inabidi aanze ili apate uzoefu, akianguka anacheka alipo teleza itena, au unaonaje.Kama huna uzoefu kaa nayo hyo hela
Sawa mkuuSasa c inabidi aanze ili apate uzoefu, akianguka anachek alipo teleza anajarbu tena, au unaonaj
Mfanyabiashara wa madini ni kati ya binadamu wenye roho ngumu zaidi duniani. Mtu wa madini huthamini zaidi atakachokipata kuliko alichonacho, kupoteza pesa kwake ni kawaida sana.Helo natumai wote ni wazima kabisa na wa afra iliyo bora kabisa
Jamani mm nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1? Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza
Hakika [emoji1][emoji1]Kama huna uzoefu kaa nayo hyo hela
Mfanyabiashara wa madini ni kati ya binadamu wenye roho ngumu zaidi duniani. Mtu wa madini huthamini zaidi atakachokipata kuliko alichonacho, kupoteza pesa kwake ni kawaida sana.
Kama unataka kuanza tafuta broker mzoefu unaemwamini mfanye kazi pamoja (ila kupigwa muhimu[emoji1]) paka pale utakapouelewa mchezo.. dhahabu ukienda kichwakichwa unaweza poteza 3M within a minute, utauziwa paka machuma ya bomba za maji.
Au nenda small scale ukahudumie wachimbaji paka siku watakapoupata mwamba wa madini (hapa risk ni kubwa zaidi ila ukibahatika pesa utazikimbia).
Hahaha hii sawa hii Dadasawa mkuu
Umetumia mda gani Ku master hizi mamboKuhudumia unaweza hudumia then ikala kwako...! mie nanunua dhahabu za mwalo wa kwangu..means mteja anakuja anasaga kwangu akichenjua nanunua mm dhahabu..ss kuna faulo za kufa mtu...anakuja kota mwingine anamuuliza huuu unamiuzia sh ngap?anamwambia 72000/=anamwabia mie nanunua 74ππ...!hao wanaonunua 74 wamechezea sana mizan zao..wajuvi wanakataa...!
Umetumia mda gani Ku master hizi mambo
Kota ni mnunua dhahabu?
Ok shukran sanaHata 2m zinatosha kuanza.
Iwe unanuna viroba au kununua pure gold.
Hahaha hii sawa hii Dada
Sina ndo nataka nianzeUnauzoefu km huna Ni hatari kwa afya yako
Ok nimekupata ndugu shukranMfanyabiashara wa madini ni kati ya binadamu wenye roho ngumu zaidi duniani. Mtu wa madini huthamini zaidi atakachokipata kuliko alichonacho, kupoteza pesa kwake ni kawaida sana.
Kama unataka kuanza tafuta broker mzoefu unaemwamini mfanye kazi pamoja (ila kupigwa muhimu[emoji1]) paka pale utakapouelewa mchezo.. dhahabu ukienda kichwakichwa unaweza poteza 3M within a minute, utauziwa paka machuma ya bomba za maji.
Au nenda small scale ukahudumie wachimbaji paka siku watakapoupata mwamba wa madini (hapa risk ni kubwa zaidi ila ukibahatika pesa utazikimbia).
Kuhudumia unaweza hudumia then ikala kwako...! mie nanunua dhahabu za mwalo wa kwangu..means mteja anakuja anasaga kwangu akichenjua nanunua mm dhahabu..ss kuna faulo za kufa mtu...anakuja kota mwingine anamuuliza huuu unamiuzia sh ngap?anamwambia 72000/=anamwabia mie nanunua 74[emoji23][emoji23]...!hao wanaonunua 74 wamechezea sana mizan zao..wajuvi wanakataa...!
Dah najikuta natamani sana haya mambo!!.yes kota mnunua dhahabu...nina muida kias..8mths hv..!sema naambiwa nna bahati tuπ π !usmart unahitajika
Naweza pata namba yakoHata 2m zinatosha kuanza.
Iwe unanuna viroba au kununua pure gold.
Mfanyabiashara wa madini ni kati ya binadamu wenye roho ngumu zaidi duniani. Mtu wa madini huthamini zaidi atakachokipata kuliko alichonacho, kupoteza pesa kwake ni kawaida sana.
Kama unataka kuanza tafuta broker mzoefu unaemwamini mfanye kazi pamoja (ila kupigwa muhimu[emoji1]) paka pale utakapouelewa mchezo.. dhahabu ukienda kichwakichwa unaweza poteza 3M within a minute, utauziwa paka machuma ya bomba za maji.
Au nenda small scale ukahudumie wachimbaji paka siku watakapoupata mwamba wa madini (hapa risk ni kubwa zaidi ila ukibahatika pesa utazikimbia).
Hela za mawazo kama izi zangu ina hitaji u smart kweli; hahaha ila Mimi broker wangu si tiyari upo uko.π π ..kama ana hela anajilipua...kama ana hela ya mawazo akae tu