Biashara ya madini ya Tanzanite

kideleko

Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
50
Reaction score
8
Natafuta mtu mwenye idea ya thailand jamani.mwenye kujua huko au mahali pengine ani pm.
 
Wewe mtanzania au mnyamulenge? Kiswahili gani umeandika hapo?
 
Mbona kichwa cha habari na habari ni tofauti sijaelewa

Andika ata kwa kiingereza,kichina kifaransa ata kinyarwanda utaeleweka.
 
Kiswahili kigumu wakuu.hoja yangu,natafuta soko la madini ya tanzanite thailand mwenye kujua huko na mazingira yake aniambie.
 
Shida ni ujumbe ukufikie wengine ndo tumetokea kijijini kantanamba hata rafudh za mjini bado hatuja copy#maundumula
 
Mbona kichwa cha habari na habari ni tofauti sijaelewa

Andika ata kwa kiingereza,kichina kifaransa ata kinyarwanda utaeleweka.

Sawa mkuu ,natafuta masoko ya madini ya tanzanite pekee.ila ya aya hapa africa c yataki baadh nishafanya nao kazi.thailand ndo nataka jua kukoje huko kuhusu.tanzanite?nahisi utakuwa umenielewa
 
mkuu hao majamaa wathailand wanapenda sna saphire na ruby kwa tanzanite ungecheki usa au indian au hata wadutch nao wanachukua sna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…