Biashara ya madini

Biashara ya madini

Nayna

Member
Joined
Sep 15, 2022
Posts
6
Reaction score
3
Ndugu zangu habarini naomba msaada Kwa ambao mshafanya kazi migodini Kuna kufaa kinatumika kuchimbia sehem ambayo ni ngum kinaitwa (Bamubamu) je ukiwa mlikii wa kufaa hiki faida zake ni nini na hasara zake ni zip ?? Msaada tafadhari hiki hapo chini ndio hicho kifaa nimejaribu kukidownlos
 

Attachments

  • IMG-20230407-WA0008.jpg
    IMG-20230407-WA0008.jpg
    110.2 KB · Views: 24
Ndugu zangu habarini naomba msaada Kwa ambao mshafanya kazi migodini Kuna kufaa kinatumika kuchimbia sehem ambayo ni ngum kinaitwa (Bamubamu) je ukiwa mlikii wa kufaa hiki faida zake ni nini na hasara zake ni zip ?? Msaada tafadhari
Ungeweka picha ya hiko kifaa ungeshasaidika. Bamubamu ni jina geni kwangu binafsi.
 
kitaalum inaitwa Auger drill screw.

kama unachimba dhahabu ni bora ikachukua JACK HAMMER AU ROCK BREAKER

Hiyo Auger Drill ni nzuri kama umekutana na Alluvial deposit (udongo) mgumu kwa juu ambao chepe halipiti

Ina Rotary mechanism.

Hiyo Jack Hammer ni kwenye miamba migumu na inachimba japo kwa small diameter kutokana ma zile drill rods

Jack hammer ina percussion mechanism
 
Mgodini hutumika
Compressor Ingesol, Atlascopco, etc, digger Y 18/24
Tarimbo
BIT chuchu 4/5/6
 
Back
Top Bottom