Ungeweka picha ya hiko kifaa ungeshasaidika. Bamubamu ni jina geni kwangu binafsi.Ndugu zangu habarini naomba msaada Kwa ambao mshafanya kazi migodini Kuna kufaa kinatumika kuchimbia sehem ambayo ni ngum kinaitwa (Bamubamu) je ukiwa mlikii wa kufaa hiki faida zake ni nini na hasara zake ni zip ?? Msaada tafadhari