biashara ya madini

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
habari wanajamvi,tafadhali mwenye maujuzi na hii business anaweza toa maujuzi hapa,mimi inanivutia.
 
Hii biashara ni risk sana waweza ibiwa hela zote,kanyaboya!
 
maskini jeuri
Nafikiria kuja kuifanya baadae,kwa sasa najaribu kuijua kupitia watu walio na ufaham nayo.
 
maskini jeuri
Nafikiria kuja kuifanya baadae,kwa sasa najaribu kuijua kupitia watu walio na ufaham nayo.

Madini yako ya aina tofauti na yanatofautiana masoko, sasa sijui wewe unapendelea almasi, dhahabu, tanzanite, shaba, nk.nk.nk. inabidi ujieleze ili wenye ufahamu wakusaidie, Mimi napendelea kuijua zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…